Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umeanza
 
Silipendi hili lindege basi tu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pyaar unafahamu vitu vingi sana aisee, sidhani kama kuna mtu anaweza pinga juu ya upishi wa wanawake wa Tabora yaani Wanyamwezi,, tena nasikia ugali wao hata mkononi haung'ang'ani unaweza sema ugali umepakwa mafuta,,, safi sana hii kitu

Kuhusu Davet polepole atabadilika tu,, haihitaji haraka sana japo tayali amechelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro
Aisee,, mashavu yakawaida tu na mafuta haya haya ya Singida, Alizeti

Kwema brother?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..halafu simuoni Davet..

Kwa ugali nawavulia kofia....Unaweza kula mpaka ukoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…