Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona kijana anataka kuharibika akili kama wengine humu[emoji23][emoji23][emoji23]namuonea huruma sana
Ni vizuri wasafiri wa chombo kimoja tuwe na lugha moja.. Kama ni uji iwe uji kama ni mtokoto wa injini iwe mtokoto wa injini.
Capital, asikutishe huyu.....huaribiki akili wala nini, utaona...Nitakupa mwongozo[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…