Jaman jaman jamaniiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kimbia tu ila nitakukamata
Maugomvi ya humu ni kuyapitia mbali kabisa...Honestly nyuzi nyingi za kuwapondea wadada wa humu huwa zina ukweli mkubwa sana sema tu ndo vile hatupend kuambiwa ukweli.(SOMO KUBWA PM kuna ubuyu mtamu na mchungu ni muhusika kuamua kula chungu au mtamu na maisha yanaendelea) Wachache sana wanaojielewa na wanajiweka smart ila wengine duh kuku wa kienyeji hata jogoo wa mtaa wa saba anapanda atakavyo.
Ngoja nijilie likes zangu hapa maana pugi halisi(tununu)kakalishwa huko hana hata kiki ya kutokeahadi team wema wamemgeuka,mjini raha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njooo nasubiri ila ujue woga huisha mwanga wa jua unapoanza kuchomoza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Embu acha woga, nakuja kukuchukua saa hii turudi zetu home! Nitakupa kampani mpaka woga utakapo kuishia! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata wakirudi jamaa keshajichokea anahitaji wa kumlea sio yeye aleee,hao wawili wanapenda kujibebisha kupelekewa kila kitu jambo ambalo kijana hawez timiza kwa asilimia 100Maugomvi ya humu ni kuyapitia mbali kabisa...
Hao wote(tununu na wema)wanataka kurudi kwenye himaya ya domo sasa unafikiri watapeana support??
Waliungana kumtoa zari sasa kila mtu anapambana arudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiiiiiiii in iceman voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiiiiiiii in iceman voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mgumu bana,taratiiiibu kwa style ya cole kwa pipileeeeUmeanza maugomvi yako! [emoji23][emoji23]