Aisee....Huu uchaguzi mdogo wa udiwani na ubunge unaotarajiwa kifanyika mwezi ujao,una mambo mengi sana yanayohitaji ufafanu lakini naona Mh Kangi Lugola amefanikiwa kuteka mijadala yote.
Hata lile la kushuka kwa mapato Mererani kutoka milioni 144 mpaka 40 kwa mwezi nalo lilihitaji mjadala kuhusu nini chanzo na nini kifanyike ila naona bandika bandua za Kangi Lugola zimeyazima haya yote.
Na ninadhani kuanzia tarehe moja ambapo kampeni zitakuwa zinashika kasi kuelekea kwenye uchaguzi wenyewe,naziona bandika bandua nyingi sana.
Ni mwendo wa bandika bandua ,halafu huko kwenye uchaguzi watu wanachapwa mapingamizi tu kwa kushindwa kuandika "ZINJANTROPUS"
[emoji818][emoji818]NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.
Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarketsAndaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu Ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe Weka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.