My fav kwa muda wote aisee!!Beautiful walahi
Hahaha vizuri aiseeAisee ukwaju umenisaidia sana kwenye hali yangu hii, kuna time mambo yalikuwa si shwari
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 815783
Tunawaroga wadhungu, wahindi na wachina, mpaka kieleweke walahi!
Na hii kwa wanaume wenye D inawahusu7. Ukwaju unapunguza
cholesterol mwilini.
Wanaume wenye nini??Na hii kwa wanaume wenye D inawahusu
Wanaume wenye D,, ni wanaume wenye vitambi,, lile tumbo lnatengeneza shape ya DWanaume wenye nini??