myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Niko poa ila bado hakijajipa.Poa za kwako?
Ni nini mbaya na wewe?
Muda bado kitajipa tu usijali.Niko poa ila bado hakijajipa.
Nakumis tu
Nashukru Mungu sijambo, naendelea vzr hali iko shwari kbs.Muda bado kitajipa tu usijali.
Hunizidi mimi kipenzi,mzima lakini?
Maendeleo?
Nashukuru kama ni hivyo,nafurahi kukuona[emoji7][emoji7]Nashukru Mungu sijambo, naendelea vzr hali iko shwari kbs.
Hahaha komando kweli kweli yuleYaani acha tu,namsubiri komandoo sue kwakweli nataman ianze hata kesho.
Mzima wewe?
Ukimbaumbau umekuwa uhendikepu mpaka uundiwe chama? Hovyo kabisa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Chama cha kutetea vimbaumbau[emoji123][emoji123][emoji123][emoji2][emoji2][emoji2]
Acha kabisa,kuna becky mamaa wa hashtagsHahaha komando kweli kweli yule
Niko poa Carba, habari yako?
Ila nilikuwa nakusak jamani, khaaa.Nashukuru kama ni hivyo,nafurahi kukuona[emoji7][emoji7]
Usiwe wapotea sana bhana
Julai 19, 2018 Lugola alisema anahitaji maelezo kutoka kwa Sirro kuhusu alipo mbwa huyo huku jana akibainisha kuwa hakuwa amepata maelezo yoyote kuhusu alipo mbwa huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gaaaiUkimbaumbau umekuwa uhendikepu mpaka uundiwe chama? Hovyo kabisa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Nipo humu sema kuna kipindi nilikuwa nasuasua kuingia ila sasa nipo.Ila nilikuwa nakusak jamani, khaaa.
Hadi nikataka kumuuliza andjul km huwa anakuona.
Marahaba shem...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gaaai
Shikamoo shemeji[emoji120][emoji120]