Hahah becky ana mambo sana,, ukitaka kumuona boss kama ni mdada inabd uwe mpole vingnevyo unaweza isomaAcha kabisa,kuna becky mamaa wa hashtags
Utasikia
#nitarefuka#[emoji23][emoji23][emoji23]
Poa sana aiseh
Anhaaa basi ntakuwa nakuchekia kule maana hata mm kwakweli siku hz naingia kwa kulenga na machale.Nipo humu sema kuna kipindi nilikuwa nasuasua kuingia ila sasa nipo.
Huyo mzee wewe umeamua kumtelekeza acha nimlee tu[emoji23][emoji23]
Pm yangu iko wazi kwako
Kula tunakula tena kutwa mara8 sasa sijui tunanenepa matumbo na maini[emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba shem...
Kuleni mnenepe. Kuanzisha chama hakutawasaidia lolote [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kaka habari za siku nyingiMarahaba shem...
Kuleni mnenepe. Kuanzisha chama hakutawasaidia lolote [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisaHahah becky ana mambo sana,, ukitaka kumuona boss kama ni mdada inabd uwe mpole vingnevyo unaweza isoma
Umemsahau escobar na demu wake haha
Khaaa, hebu utukome kbsSijasema mimi jamani msiniuee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 815868
Hiyo namba nimembadilishia simu yake nashika mimi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anhaaa basi ntakuwa nakuchekia kule maana hata mm kwakweli siku hz naingia kwa kulenga na machale.
Sasa andjul nampata muda wowote maana niko na namba yake.
Sijasema mimi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaa, hebu utukome kbs
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Sijasema mimi jamani msiniuee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 815868
Mnanenepesha gubu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Kula tunakula tena kutwa mara8 sasa sijui tunanenepa matumbo na maini[emoji23][emoji23][emoji23]
#naaminitutanenepa#
Hahhahah thubutuHiyo namba nimembadilishia simu yake nashika mimi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa maa usijali
Njema bageshi. Ulipotea kimoja. Bila shaka mambo yako yale ulishamaliza. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kaka habari za siku nyingi