mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wewe unapenda staili ipi hapo
Wewe unapenda staili ipi hapo
Hii binafsi siiafiki.Ukistaajabu ya Musa !! Utayaona ya Filauni!!!
Pichani, huko Marekani kwasasa kumeibuka style mpya ya mazishi yaani "video game staged funerals" !.
Mtu akifariki hasa kijana wana stage up mazishi yake.
Mfano huyo kijana pichani amefariki, lakini amevalishwa nguo zake alizokuwa akizipenda, miwani na kuwekwa kwenye kochi akionekana anacheza game ili kuwakumbusha na kuwafariji waombolezaji kwenye kuhusu maisha ya aliyefariki kuwapunguzia Uchungu !!
Nini maoni yako
Doh!Wewe unapenda staili ipi hapo
KwakweliMdada/Mkaka waheshimu sana rafiki wa Mchumba wako,, kwani wao ndo wanajua Unapendwa kweli au Unapuyanga time tu!!!
[emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahhaha!Nnadhani ni muhimu kujua ili kuchukua tahadhari...
Aaaaaaaarghhh !!! [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Wewe unapenda staili ipi hapo
Huyu kakurupuka. Atie mfukoni tu hiyo pete [emoji16][emoji16][emoji16]
Sure, ni muhimu kujua kabla ya kuanza kusambaza UJI wenye sumu.Hahahhaha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wanaume[emoji114][emoji114]
Sawa sawa mkuu.Sure, ni muhimu kujua kabla ya kuanza kusambaza UJI wenye sumu.
Kuna ulazima gani wa kufanya hivyo? Kuna tamaduni maelfu hapa duniani zinazohusu maiti. Jamii moja huko Polynesian islands wao ukifa unakaushwa na unaendelea kuwa mwanafamilia kama kawaida ikiwemo kutolewa nje kama kuna jua n.k.Hii binafsi siiafiki.
Mtu akishafariki afunikwe azikwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kakurupuka. Atie mfukoni tu hiyo pete [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama vile siyo wewe uliyeposti hii. Watu mna heshima zenu humu zilindeni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hayatamuumiza mwanayanga ye yote. Unajidanganya tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Heeh!!Kuna ulazima gani wa kufanya hivyo? Kuna tamaduni maelfu hapa duniani zinazohusu maiti. Jamii moja huko Polynesian islands wao ukifa unakaushwa na unaendelea kuwa mwanafamilia kama kawaida ikiwemo kutolewa nje kama kuna jua n.k.
Kwamba wanaamini bado anaishi au?Kuna ulazima gani wa kufanya hivyo? Kuna tamaduni maelfu hapa duniani zinazohusu maiti. Jamii moja huko Polynesian islands wao ukifa unakaushwa na unaendelea kuwa mwanafamilia kama kawaida ikiwemo kutolewa nje kama kuna jua n.k.