Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi sana. Siyo lazima kuwa kwenye sanduku. I like thisUkistaajabu ya Musa !! Utayaona ya Filauni!!!
Pichani, huko Marekani kwasasa kumeibuka style mpya ya mazishi yaani "video game staged funerals" !.
Mtu akifariki hasa kijana wana stage up mazishi yake.
Mfano huyo kijana pichani amefariki, lakini amevalishwa nguo zake alizokuwa akizipenda, miwani na kuwekwa kwenye kochi akionekana anacheza game ili kuwakumbusha na kuwafariji waombolezaji kwenye kuhusu maisha ya aliyefariki kuwapunguzia Uchungu !!
Nini maoni yako