Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii binafsi siiafiki.
Mtu akishafariki afunikwe azikwe.
 
Kuna ulazima gani wa kufanya hivyo? Kuna tamaduni maelfu hapa duniani zinazohusu maiti. Jamii moja huko Polynesian islands wao ukifa unakaushwa na unaendelea kuwa mwanafamilia kama kawaida ikiwemo kutolewa nje kama kuna jua n.k.
Heeh!!
Hiyo n.k ndo nn bro,,? Au Na Uji anapewa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…