Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi sana. Siyo lazima kuwa kwenye sanduku. I like thisUkistaajabu ya Musa !! Utayaona ya Filauni!!!
Pichani, huko Marekani kwasasa kumeibuka style mpya ya mazishi yaani "video game staged funerals" !.
Mtu akifariki hasa kijana wana stage up mazishi yake.
Mfano huyo kijana pichani amefariki, lakini amevalishwa nguo zake alizokuwa akizipenda, miwani na kuwekwa kwenye kochi akionekana anacheza game ili kuwakumbusha na kuwafariji waombolezaji kwenye kuhusu maisha ya aliyefariki kuwapunguzia Uchungu !!
Nini maoni yako
Kama vile siyo wewe uliyeposti hii. Watu mna heshima zenu humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wanaume[emoji114][emoji114]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila wewe! Sasa uji atakunywa vipi?Heeh!!
Hiyo n.k ndo nn bro,,? Au Na Uji anapewa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama vile siyo wewe uliyeposti hii. Watu mna heshima zenu humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Of kozi wanajua kafa. Wana dhana tofauti kuhusu kifo. Kuwa siyo mwisho wa mwisho...Maisha yanaendelea...Kwamba wanaamini bado anaishi au?
Poti wako mpole na mwenye hekima sana naona kaamua kujiripua. May be injini iko on. Whu nouzi? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️People are getting crazy in here! [emoji15][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila wewe! Sasa uji atakunywa vipi?
Haya mkuu, that's their culture.Of kozi wanajua kafa. Wana dhana tofauti kuhusu kifo. Kuwa siyo mwisho wa mwisho...Maisha yanaendelea...
Tamaa mbele mauti nyuma...Shwainiii zenu kabisaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tutapata tabu sana,, tusipo kuwa makini maana vitu vinashushwa daily!!
Imela ndo nn mwalimu??
[emoji3][emoji3][emoji3]haya bhanaAwww... Thank you for the big HUG! [emoji1] Aah, pole bana, ungo wangu ulikutana na turbulence katikati ya Atlantic Ocean ukashindwa kukatiza! Next time bana! [emoji23][emoji23]
AiseehMdada/Mkaka waheshimu sana rafiki wa Mchumba wako,, kwani wao ndo wanajua Unapendwa kweli au Unapuyanga time tu!!!
Yawezekana kwa sababu kama ni mkeo unaendelea kuwa naye karibu hata kulala naye. Kila siku unambadilisha nguo na kumsafisha...Heeh!!
Hiyo n.k ndo nn bro,,? Au Na Uji anapewa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] AiseeeTamaa mbele mauti nyuma...Shwainiii zenu kabisaa.
Imela ni wimbo (gospel) mnigeria mmoja hivi...hayo maneno uliyoyataja yamo kwenye huo wimbo.
Kuogeshwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nn maana ya n.k [emoji23][emoji23][emoji23]
Buda ndo tumefika huku?
Men[emoji124][emoji124][emoji124]