Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Tunahitaji Yanga imara ambayo inaweza kushindana na Simba. Tunahitaji Yanga imara kwa ajili ya timu bora ya Taifa Stars. Ninawaombea Yanga waweze kupita katika kipindi hiki kigumu kwao, wanapaswa watulie na waungane upya"

-Mohammed Dewji Mo
Kwa kweli ni jambo jema YANGA wakaimarika sasa, ili watakapochezea bao tano tano mfululizo tola SIMBA wasipate sababu za kujitetea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[HASHTAG]#NUKUU[/HASHTAG] :"Kilichofurahisha katika utowaji wa gawio kwa mwaka huu, kwa mfano TAZAMA mwaka huu wametoa Milioni 681.818, TAZAMA tangu ianzishwe enzi za Nyerere haijawahi kutoa hata senti 5.Ilikuwa inatazama tu". Rais Dkt.john Magufuli.
[HASHTAG]#UpokeajiGawio[/HASHTAG]
 
[emoji117]NYOTA wa Kombe la Dunia ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya PSG ya Ufaransa pia, Kylian Mbappe, aliwahi kukataliwa kuchezea timu ya Cameroon ambapo baba yake alitakiwa kutoa malipo ya fedha ambayo alishindwa kuipata. Lakini, Ufaransa, nchi ambayo alizaliwa, ilimchukua na kumwingiza katika ulimwengu mkubwa zaidi wa soka Bure !

[emoji117]Wilfried Mbappe, baba yake nyota huyo aliwahi kuviambia vyombo vya habari kwamba: “Nilitaka mwanangu achezee timu ya taifa ya Cameroon lakini shirikisho la soka likaniambia nitoe fedha kiasi fulani ambayo sikuwa nayo lakini Ufaransa haikunitaka nitoe wala senti moja.”

[emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…