Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waziri Kangi Lugola amuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kumuweka rumande Askari Polisi aliyeshindwa kujibu swali lake na kisha kuagiza atolewe baada ya kugundua hana uelewa na maswala ya utalii na diplomasia.

Aliuliza "Ni vitabu gani muhimu vinastahili kuwekwa katika kituo cha polisi kwa ajili ya kutoa msaada wa huduma kwa raia?"
Duu, hamtakufa, cha moto mtakiona
 
FB_IMG_1532353112444.jpg
 
[HASHTAG]#NUKUU[/HASHTAG] :"Kilichofurahisha katika utowaji wa gawio kwa mwaka huu, kwa mfano TAZAMA mwaka huu wametoa Milioni 681.818, TAZAMA tangu ianzishwe enzi za Nyerere haijawahi kutoa hata senti 5.Ilikuwa inatazama tu". Rais Dkt.john Magufuli.
[HASHTAG]#UpokeajiGawio[/HASHTAG]
Kwa kweli katika hili namuunga mkono mh Rais
 
[emoji117]NYOTA wa Kombe la Dunia ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya PSG ya Ufaransa pia, Kylian Mbappe, aliwahi kukataliwa kuchezea timu ya Cameroon ambapo baba yake alitakiwa kutoa malipo ya fedha ambayo alishindwa kuipata. Lakini, Ufaransa, nchi ambayo alizaliwa, ilimchukua na kumwingiza katika ulimwengu mkubwa zaidi wa soka Bure !

[emoji117]Wilfried Mbappe, baba yake nyota huyo aliwahi kuviambia vyombo vya habari kwamba: “Nilitaka mwanangu achezee timu ya taifa ya Cameroon lakini shirikisho la soka likaniambia nitoe fedha kiasi fulani ambayo sikuwa nayo lakini Ufaransa haikunitaka nitoe wala senti moja.”

[emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3]
Rushwa rushwa rushwa
 
Back
Top Bottom