Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UBISHI SI MZURI!
Waziri wa Mifugo katembelea mradi wa NYUKI, alipofika getini Mlinzi akamwambia haruhusiwi mtu kuingia kwa sasa!
Waziri kwa hasira akamjibu Mlinzi kwani hujui mimi ni nani huku akimwonesha kitambulisho!
Mlinzi kwa utii, akamwambia haya ingia muheshimiwa!
Baada ya muda mfupi, Waziri alisikika akiita Mlinzi, Mlinzi NYUKI wamenivamia-Mlinzi AKAJIBU waoneshe kitambulisho huenda HAWAKUJUI WEWE NI NANI?!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1426][emoji1426] hii nimeipenda sana
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…