Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mume alikuwa anampiga mkewe! jirani akaja kuamua:-
Jirani: Mke hapigwi jirani!!
Mke: Mume wangu msikilize jirani anavyokwambia!
Mume: Ni mjeuri huyu nimfanyeje kama hapigwi?
Jirani: Dawa yake unaoa mke mwengine tu!
Mke: Nyooo Hasidi weee! NIPIGE MUME WANGU USIMSIKILIZE JIRANI..! NIPIGE NIKOME MAANA MIMI WAKATI mwingine SINA ADABU
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya majamaa yanajua kuigiza mpaka basi