Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa Nansio. Huyu mama shujaa wako ulikuwa mpaka unamfananisha na malkia wako kwa utajiri na uchacharikaji wake mpaka kuwa the richest woman in Afrika kumbe yote ilikuwa ni spoon feeding ya babake tena ya wazi wazi bila kujificha. Mzee katoka madarakani sasa wameanza kumpa hati hati. Afrika !!!
Screenshot_20180724-112324~2.jpg


Isabel dos Santos: The Fall of Africa’s Richest Woman
 
Back
Top Bottom