Siyo kweli. Seme mitambo yake ya kufanyia majaribio silaha za nyukliaPyongyang yaanza kuvunja mitambo yake ya nyuklia
90%[emoji818]Usicheze na kiduku. Wachambuzi wanasema program yake tayari ilishavuka experimental stage hivyo hana haja na hivyo vituo vya majaribio. Inasemekana anavyo vichache vya siri na majaribio ya makombora mapya yanaweza kufanyikia huko. Wengine wanasema anaweza hata kwenda kuyajaribishia kwa marafiki zake China au Urusi akitaka. The boy is very smart...
Trump kaingizwa chaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usicheze na kiduku. Wachambuzi wanasema program yake tayari ilishavuka experimental stage hivyo hana haja na hivyo vituo vya majaribio. Inasemekana anavyo vichache vya siri na majaribio ya makombora mapya yanaweza kufanyikia huko. Wengine wanasema anaweza hata kwenda kuyajaribishia kwa marafiki zake China au Urusi akitaka. The boy is very smart...
OK mkuuSiyo kweli. Seme mitambo yake ya kufanyia majaribio silaha za nyuklia
Kwa nini 90%90%[emoji818]
Kako smatiKwa nini 90%
Kako smati chini ya vile vibabu alivyoviacha kiongozi mpendwa Kim jong ilKwa nini 90%