Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UNAOGOPA NINI?

Ukichunguza utagundua, wengi wetu tumejawa hofu bila sababu za msingi; hofu ya kupoteza vile tulivyonavyo, tunahangaika kutumia nguvu nyingi kuvidhibiti visituponyoke ili asitokee mwingine wa kuvigusa. Tunafikiri kwa kuvificha, vitaendelea kubaki nasi na kuwa vyetu milele. Tunajidanganya. Mambo hayako hivyo, hayajawahi kuwa hivyo, na hayatokuwa hivyo kamwe.

Kama unafikiri kuna kitu chochote ulichonacho, kitadumu chini yako; iwe pesa, gari, nyumba, mpenzi, ni kujipumbaza akili. Ipo siku isiyokuwa na jina, vyote vinaweza kutoweka kwa pigo moja tu. Pigo moja tu, mtu wangu. Pesa kama ilivyotoka kwa wengine ikaja kwako, pia yamkini ikahamia kwa mwingine; binti yako kipenzi, siku akiolewa atakuacha na kwenda kuwa chini ya milki nyingine; mpenzi wako asipokuacha basi siku atakufa na hatokuwa wako tena.

Shida kubwa, wengi tunaogopa kuanza upya pale tunapopoteza vile tulivyokuwa navyo, ndo maana tunajilazimisha kuvizuia visiguswe na wengine. Kama leo umepata kitu cha thamani l, basi weka akilini kwamba, hakuna unachoweza kukipata halafu ukashindwa kukipoteza, hata iwe roho. Ni suala la muda tu. Hata uwe tajiri, bado hujafikia bado ukwasi kiasi cha kushindikana kuishiwa ndani ya dakika tu. Hata upendwe vipi au uwe mzuri vipi, hujafikia ujanja wa kumzuia akupendaye kuondoka muda wowote.

Kumbuka: Ulichonacho leo, jana hakikuwa chako na pengine kesho kisiwe chako tena. Kila unachokipata, utakiacha papahapa. Ulikuja mtupu na utaondoka mtupu.

Sasa unaogopa nini?

Vinavyotaka kuondoka acha viondoke. Madhali mapigo ya moyo yangali yanadunda vizuri, maadamu tundu za pua zingali zikinyonya hewa vizuri, alimradi damu inaendelea kupenya vizuri katika mishipa, basi unaweza kusimama - ukapamabana na kupata zaidi ya ulichopoteza. Kama uliweza kukipata mara ya kwanza, hutashindwa kukitwaa mara ya pili.
 
Amejivalia ngozi ya kondoo,mee
Kumbe ndani ni mbwa mwitu,wuhu wuhuu[emoji445][emoji445][emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cristiano Ronaldo amewapiga bao Neymar na Lionel Messi kwa kuvuta pesa ndefu kupitia posti zake katika mtandao wa Instagram baada ya kuibuka kinara kupitia orodha ya Sport Rich iliyotolewa 2018, ambapo kila posti yake moja inaingiza takribani Pauni 570,000.
 
Ronaldo ambaye hivi karibuni amejiunga na Juventus kwa dau la Pauni 100 milioni amewafunika wapinzani wake wakubwa kwenye soka baada ya ripoti kuonyesha kuwa anaingiza fedha ya kuwazidi Neymar Jr na Lionel Messi kupitia mtandao wa Istagram.
 
Mtanado wa HopperHQ.com umeonyesha jinsi ambavyo wakali hao wa soka wanavyovuna pesa nyingi na kutokana na kuwa na ushawishi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.

Mtandao huo ulionyesha vigezo kama vile kuwa na wafuasi wengi na muda ambao wanatuma posti zao mara kwa mara.
 
Jambo hilo linajidhihirisha ni kwa jinsi gani anaweza akazioza fedha za makampuni yanayotaka kutangaza kupitia ukurasa wake.

Ripoti inaonyesha kwamba kampuni itakayotaka kutangaza kwake itawagharimu kiasi cha Pauni 570,000 kwa kila posti.
 
Nyota Neymar, Messi na David Beckham pamoja na Gareth Bale wameungana na Cristiano kuwa miongoni wa wachezaji wanaoingiza pesa ya maana kupitia Istagram.

Kila posti ya Neymar na Messi zikitumwa kwenye akaunti zao zinaweza kugharimu takribani Pauni 457,000 na Pauni 381,000 kila mmoja.
 
Nyota Neymar, Messi na David Beckham pamoja na Gareth Bale wameungana na Cristiano kuwa miongoni wa wachezaji wanaoingiza pesa ya maana kupitia Istagram.

Kila posti ya Neymar na Messi zikitumwa kwenye akaunti zao zinaweza kugharimu takribani Pauni 457,000 na Pauni 381,000 kila mmoja.
 
Gharama za posti za Beckham zinatajwa kufikia Pauni 228,000 wakati wadhamini kwenye akaunti ya Bale inatajwa inaweza kufikia Pauni 141,000.

Mafanikio ya Ronaldo yameongezeka mara dufu dunia kutokana na kuwa kwenye listi ya wachezaji bora watano duniani hadi sasa.
 
Nyota huyo mwenye miaka 31, amemaliza katika nafasi ya tatu kwenye wachezaji bora wa dunia kwa watu maarufu duniani wanaotumia mtandao wa Istagram, huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Kim Kardashian na Beyonce akiwa nafasi ya tano.
 
...
20180724_212508.jpg
 
Back
Top Bottom