WapiAsanteee umenikumbusha nyumbani
Migombanii moshiWapi
Oooh ayaMigombanii moshi
Yeye aendelee kumumunya tu[emoji23]...kuwe na utofauti kidogo.Kwahiyo unataka na mwenzako atafune kabisa ??
Sawa mkuuYeye aendelee kumumunya tu[emoji23]...kuwe na utofauti kidogo.
Kwani wee huna jibu.Hili swali gumu kuliko majibu ya wahusika
Pamoja mkuu..Kwema lakin?Sawa mkuu
Kwema sana mkuu wangu, nashukuru Mungu nimeamka vizuriPamoja mkuu..Kwema lakin?
makande ya unga mweusi au mweupe?Makande
Ya kuchoma kwenye mkaaHivi uliwahi kula ya kitimoto?