[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Malcom bwana...Mie huwa simumunyi pipi..huwa natafuna kabisa.Wewe ushaimaliza ???
Kwahiyo unataka na mwenzako atafune kabisa ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Malcom bwana...Mie huwa simumunyi pipi..huwa natafuna kabisa.
Asanteee umenikumbusha nyumbaniNdizi mkono wa tembo zikoleee nazi na kipande cha samaki pembeni
Hivi uliwahi kula ya kitimoto?Roast ya maini ya kuku na chapati