Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Shinyanga + Simiyu + GeitaHz kanda ya ziwa znaitwa daladala
Usiku mwema consuela
Shinyanga + Simiyu + GeitaHz kanda ya ziwa znaitwa daladala
Usiku mwema consuela
Shinyanga + Simiyu + Geita.......Sio kanda ya ziwa yote...Wapi huko? Labda vijijini sana,mijini hamna daladala za baskeli,boda boda wamejaa kila kona,bajaji za kumwaga
This is a good one walahi
Nimekurupuka tu usingizini muda huu, nikasema sio vibaya nikipita kuwasalimu...Teh!Kwema sana tu.
Kumbe na weye mkeshaji mzuri kama mimi