[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ujalala tu00:35
BadoUjalala tu
Wapi huko? Labda vijijini sana,mijini hamna daladala za baskeli,boda boda wamejaa kila kona,bajaji za kumwagaHz kanda ya ziwa znaitwa daladala
Usiku mwema consuela
Si kweli,acha kukariri bwana jeziNdio aisee,, ukiwa kanda ya ziwa ukasikia mtu anasema ngoja nikuitie daladala basi ujue ndio hz,, japo kuna zle daladala unazozfahamu pia,,, ila huu ni usafiri maarufu sana kwa kanda ya ziwa!! nauli sh. 300 bt inategemea na umbali wa sehemu yenyewe