Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HABARI ndiyo hiyo. Luciano Spalletti amesema winga Ivan Perisic anayetajwatajwa kuwindwa na Manchester United hajawahi kuonyesha dalili yoyote kama anataka kuachana na Inter Milan kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Supastaa huyo wa kimataifa wa Croatia, Perisic amekuwa akivumishwa kuwapo kwenye rada za wababe wa Old Trafford hasa baada ya kufanya kweli kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 huko Russia ambapo aliisaidia timu yake kushika nafasi ya pili.