Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HABARI ndiyo hiyo. Luciano Spalletti amesema winga Ivan Perisic anayetajwatajwa kuwindwa na Manchester United hajawahi kuonyesha dalili yoyote kama anataka kuachana na Inter Milan kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.

Supastaa huyo wa kimataifa wa Croatia, Perisic amekuwa akivumishwa kuwapo kwenye rada za wababe wa Old Trafford hasa baada ya kufanya kweli kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 huko Russia ambapo aliisaidia timu yake kushika nafasi ya pili.
 
Geita mjini kumechangamka ndio, lakini hizo baiskeli (boda boda) bado zipo kwa uchache....Ingawa pia kuna pikipiki..
Hata Shinyanga mjini pia bado zipo, ingawa kwasasa zinapungua mjini...
Mwanza mjini ndio hakuna hz daladala,, ila kuanzia Igoma kwenda Kisesa zipo nyingi tu,, Kahama mjini hz zipo nying tu, Shinyanga mjini pia zipo,, Geita mjini pia zipo nyingi tu
[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kocha wa Man United, Jose Mourinho alikisifu sana kiwango cha Perisic kwenye fainali hizo za Russia na kukiri aliwahi kutaka kumsajili winga huyo, lakini Spalletti alisema hakuna dili lolote linalomhusu mchezaji huyo na ipo hivyo pia kwa straika Mauro Icardi.

“Icardi na Perisic ni nguzo ya kikosi chetu? Ndiyo, nadhani ni hivyo,” alisema.

“Ni wachezaji wawili matata kabisa, ni mfano mzuri kwenye timu na wameifanya Inter kuwa vizuri.
 
NAHODHA wa Real Madrid, Sergio Ramos ameripotiwa kuwaaambia mabosi wa timu hiyo kwenda kumsajili staa wa Juventus, Paulo Dybala kama watakwama kwenye mpango wa kumnasa supastaa wa Chelsea, Eden Hazard.

Los Blancos wamekuwa wakihusishwa sana na Hazard kwenye dirisha hili, ambapo jina la Mbelgiji huyo linaonekana kukubalika na mashabiki wa Madric ambao wanataka kumuona anakwenda kurithi mikoba ya Cristiano Ronaldo.
 
Ronaldo amekwenda kujiunga na Juventus mwaka huu na shida ya Madrid katika kusaka mrithi wake ipo kwa Chelsea kama itakuwa tayari kumuuza staa wake, Hazard.

Lakini, Don Balon linadai Ramos amewataka mabosi wa Real Madrid kumsajili Dybala kama watashindwa kumpata Hazard, kwa sababu ni mchezaji ambaye hajaachwa nyuma kwenye ubora wa ndani ya uwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…