Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mikono ya shimbaaa,ile ya samaki siku ileee[emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 818400
Hii mbona mizuri bageshi?

Ya kwangu imechakaa kutokana na kilimo cha nyanya huku Koromije.

[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
halafu ile picha sijui aliifuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]juzi hapa aliweka ile ya weed
Jizazi....

Nitawawekea mikono mpaka mchoke. Ila tu mjue kuwa siku moja mikono hiyo yaweza waliza [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
KIMDABUO%202.jpg
 
Siku ya ku slap it[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shikamoo shemeji
Marahaba...

Hata sijatoka kitandani nakutana na "masimango" yenu eti mnatafuta vidole vyangu. We na shogako mshindwe na mlegee. Maneno meeeengi hapa tu mkitafutwa laivu mnapotea. Dawa yenu ni kuwaPutin tu [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom