Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inawezekana idea yake ni nzuri sana,labda wanataka kujua kama kweli ulipitia mafunzo ya udereva na ukapata leseni ama wewe ulipata tu leseni sebleni kwa shemeji.
Anyway acha tuone wataishia wapi maana hii awamu hakuna matamko yanayofikiwa malengo,tunakurupuka tu.

Mimi mzima sana,habari ya kwako?
Hahahhahaha!
 
Ni kweli kabsa,,,ngoja tuone mwisho wa hii sinema,,,
Kuna Private company flan hv,, wao kwenye suala zima la kudhibt ajari wako na sheria zao,, ni ngumu lkn zmepunguza ajari kwa kiasi flan,,
Mfano,, dereva aki overspeed akikamatwa anakatwa 150000 kwenye mshahara wake akirudia tena anakatwa 300000,kosa la tatu hana kazi,,, hvo hvo hata kwa abiria atakaekutwa Hajafunga mkanda(seatbelt)kosa la kwanza 150000,la pili 300000
Sheria hii imesaidia sana kupunguza ajari, sema hii kwa mtaani au serikalini ni ngumu kuapply!!!!

Aiseee,, mimi sijambo kabsa!!! Tunaitafuta jioni
Tatizo wenzetu wa sekta binafsi wako vizuri kusimamia ila huku kwingine mmh!!
Muda utasema ila wakisimamia vizuri na kuweka hili wazo lao vizuri labda watafanikiwa,tuwape muda.

Kwakweli jumatano inaishia taratibu
 
37271750_202113280481045_7510149143424139264_n.jpg
 
Back
Top Bottom