Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Raha zipo Saadani, msikose kufika
FB_IMG_1532507906116.jpg
FB_IMG_1532507820176.jpg
 
Inawezekana idea yake ni nzuri sana,labda wanataka kujua kama kweli ulipitia mafunzo ya udereva na ukapata leseni ama wewe ulipata tu leseni sebleni kwa shemeji.
Anyway acha tuone wataishia wapi maana hii awamu hakuna matamko yanayofikiwa malengo,tunakurupuka tu.

Mimi mzima sana,habari ya kwako?
Wewe acha tu Aise,, ujue sasa hv kila mtu anafanya kazi kwa kuogopa akiharbu atafukuzwa kazi,,, sasa hii idea aliyokuja nayo huyu jamaa sijui kaitolea wapi,, vyeti na ajari wapi na wapi???

Habari yako carba
 
Back
Top Bottom