Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachunguzi waligundua kuwa hatua ndogo unayoanza kuchukua inaweza kukupeleka mbali. Ufunguo ni katika kuchukua hizo hatua ndogo ili uweze kupata mwelekeo.Kujenga maisha makubwa ni kubadilisha tabia, ingawa ni ngumu .Ni ngumu kutunza nguvu hio kwa muda mrefu ili kuona badiliko.

Lakini ziko tabia ndogo ndogo za kuanzia ambazo zitakuwezesha kufuata mwelekeo wa tabia kubwa zenye kuleta matokeo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…