Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Khaaaa!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]hii injini leo mbona mapema sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:injinia tafadhali mwache ajenge SGR kwanza puliiizii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], injini ya leo hatari, atafutiwe tabibu..
tapatalk_1532262580324.jpeg
 
Wachunguzi waligundua kuwa hatua ndogo unayoanza kuchukua inaweza kukupeleka mbali. Ufunguo ni katika kuchukua hizo hatua ndogo ili uweze kupata mwelekeo.Kujenga maisha makubwa ni kubadilisha tabia, ingawa ni ngumu .Ni ngumu kutunza nguvu hio kwa muda mrefu ili kuona badiliko.

Lakini ziko tabia ndogo ndogo za kuanzia ambazo zitakuwezesha kufuata mwelekeo wa tabia kubwa zenye kuleta matokeo makubwa.
Huyu ndiye Num sasa [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna movie nimeishuhudia ghafla bila kutarajia shwain hausgel wa jiran kagawiwa uji wa kutosha si wangejificha na wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!pole enda katafute huduma ya kwanza kwa injinia maana hali si nzuri
 
Back
Top Bottom