Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KITENDO cha Barcelona kumpora winga mahiri wa Bordeaux, Malcom ambaye alikuwa akielekea AS Roma kimeiachia Manchester United mbio nyeupe za kumnasa winga mahiri wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil, Willian


Barcelona wamelichomolea dau kubwa ambalo Chelsea wanalitaka kwa ajili ya kumruhusu Willian kwenda Nou Camp ambapo walifika hadi pauni 62 milioni zilizokataliwa na Chelsea, lakini United wapo tayari kulipa dau ambalo Chelsea inataka.
 
Kwamba kila Dereva sasa atatakiwa kutembea na Leseni yake ya Udereva pamoja na Cheti cha Mafunzo ya Udereva...hii ni kusaidia kubaini na kukomesha Waliopata Leseni Mezani.

"Leseni Mezani".. tujiulize kwa Pamoja Meza hii inayozungumzwa hapa ni ya Nani?..Meza ya Raia, taasisi binafsi, Serikali au Vyombo vya Dola?

Kifupi Leseni ya Udereva inatolewa na Mamlaka iliyo Chini ya Serikali pekee ila Cheti cha Mafunzo ya Udereva kinatolewa na Vyuo vya Udereva ambavyo Asilimia 99.9 Vinamilikiwa na Watu Binafsi....Sasa kama Raia ana Access ya kupata Leseni ya Mezani kirahisi tu toka ktk Mamlaka na Vyombo vinavyosimamia Sheria, je Raia huyu atashindwaje kupata Cheti cha Mafunzo bila kusoma toka kwa Taasisi zisizosimamia Sheria kama vile Baadhi ya Vyuo vya udereva visivyo na uaminifu..?,...Watu Watapiga sana Hela.

Ukakiki hovyo kabisa kuwahi kutokea
 
KITENDO cha Barcelona kumpora winga mahiri wa Bordeaux, Malcom ambaye alikuwa akielekea AS Roma kimeiachia Manchester United mbio nyeupe za kumnasa winga mahiri wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil, Willian


Barcelona wamelichomolea dau kubwa ambalo Chelsea wanalitaka kwa ajili ya kumruhusu Willian kwenda Nou Camp ambapo walifika hadi pauni 62 milioni zilizokataliwa na Chelsea, lakini United wapo tayari kulipa dau ambalo Chelsea inataka.
 
BEKI matata wa Uhispania na Real Madrid, Sergio Ramos juzi kati aliamua kumwoa mchumba wake wa miaka mingi Pilar Rubio.


Nahodha huyo wa Uhispania alikamilisha utaratibu wote wa ndoa kwa kuvisha pete ya ndoa Rubio ikiwa ni baada yake kudumu naye kwenye mapenzi kwa kipindi cha miaka sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…