Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KITENDO cha Barcelona kumpora winga mahiri wa Bordeaux, Malcom ambaye alikuwa akielekea AS Roma kimeiachia Manchester United mbio nyeupe za kumnasa winga mahiri wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil, Willian


Barcelona wamelichomolea dau kubwa ambalo Chelsea wanalitaka kwa ajili ya kumruhusu Willian kwenda Nou Camp ambapo walifika hadi pauni 62 milioni zilizokataliwa na Chelsea, lakini United wapo tayari kulipa dau ambalo Chelsea inataka.
Saizi kametulia kanashusha magazeti ya michezo, afya na ushauri utafikiri siyo kenyewe kalikokuwa kanachochea mamioto hapa mchana mchana mpaka wengine ikabidi tukimbie.
 
....
20180725_215609.jpg
 
Kwamba kila Dereva sasa atatakiwa kutembea na Leseni yake ya Udereva pamoja na Cheti cha Mafunzo ya Udereva...hii ni kusaidia kubaini na kukomesha Waliopata Leseni Mezani.

"Leseni Mezani".. tujiulize kwa Pamoja Meza hii inayozungumzwa hapa ni ya Nani?..Meza ya Raia, taasisi binafsi, Serikali au Vyombo vya Dola?

Kifupi Leseni ya Udereva inatolewa na Mamlaka iliyo Chini ya Serikali pekee ila Cheti cha Mafunzo ya Udereva kinatolewa na Vyuo vya Udereva ambavyo Asilimia 99.9 Vinamilikiwa na Watu Binafsi....Sasa kama Raia ana Access ya kupata Leseni ya Mezani kirahisi tu toka ktk Mamlaka na Vyombo vinavyosimamia Sheria, je Raia huyu atashindwaje kupata Cheti cha Mafunzo bila kusoma toka kwa Taasisi zisizosimamia Sheria kama vile Baadhi ya Vyuo vya udereva visivyo na uaminifu..?,...Watu Watapiga sana Hela.

Ukakiki hovyo kabisa kuwahi kutokea
Bila kubadili mfumo na fikra tunavyoendesha mambo yetu ni kazi bure. Hata tupate mawaziri maninja namna gani hakuna kitu. Huu ni mwanya mwingine wa bughudha na rushwa tu kwa matrafiki hakuna cho chote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem maisha mafupi sana haya,kwanini unune nune?
Vipi tena? Kicheko hiki si kinasikika mpaka kwa majirani? Ngoja tuwatafute watupe umbea. Isije ikawa kinatokana na mzima injini mashuhuri kupita wote [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

Jirani, umekisikia kicheko hiki? Mwangwi wake mpaka masetelaiti ya NASA yanakamata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akiiiii
 
Back
Top Bottom