Na badoHatariii
Saizi kametulia kanashusha magazeti ya michezo, afya na ushauri utafikiri siyo kenyewe kalikokuwa kanachochea mamioto hapa mchana mchana mpaka wengine ikabidi tukimbie.KITENDO cha Barcelona kumpora winga mahiri wa Bordeaux, Malcom ambaye alikuwa akielekea AS Roma kimeiachia Manchester United mbio nyeupe za kumnasa winga mahiri wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil, Willian
Barcelona wamelichomolea dau kubwa ambalo Chelsea wanalitaka kwa ajili ya kumruhusu Willian kwenda Nou Camp ambapo walifika hadi pauni 62 milioni zilizokataliwa na Chelsea, lakini United wapo tayari kulipa dau ambalo Chelsea inataka.
Bila kubadili mfumo na fikra tunavyoendesha mambo yetu ni kazi bure. Hata tupate mawaziri maninja namna gani hakuna kitu. Huu ni mwanya mwingine wa bughudha na rushwa tu kwa matrafiki hakuna cho chote.Kwamba kila Dereva sasa atatakiwa kutembea na Leseni yake ya Udereva pamoja na Cheti cha Mafunzo ya Udereva...hii ni kusaidia kubaini na kukomesha Waliopata Leseni Mezani.
"Leseni Mezani".. tujiulize kwa Pamoja Meza hii inayozungumzwa hapa ni ya Nani?..Meza ya Raia, taasisi binafsi, Serikali au Vyombo vya Dola?
Kifupi Leseni ya Udereva inatolewa na Mamlaka iliyo Chini ya Serikali pekee ila Cheti cha Mafunzo ya Udereva kinatolewa na Vyuo vya Udereva ambavyo Asilimia 99.9 Vinamilikiwa na Watu Binafsi....Sasa kama Raia ana Access ya kupata Leseni ya Mezani kirahisi tu toka ktk Mamlaka na Vyombo vinavyosimamia Sheria, je Raia huyu atashindwaje kupata Cheti cha Mafunzo bila kusoma toka kwa Taasisi zisizosimamia Sheria kama vile Baadhi ya Vyuo vya udereva visivyo na uaminifu..?,...Watu Watapiga sana Hela.
Ukakiki hovyo kabisa kuwahi kutokea
Vipi tena? Kicheko hiki si kinasikika mpaka kwa majirani? Ngoja tuwatafute watupe umbea. Isije ikawa kinatokana na mzima injini mashuhuri kupita wote [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Jirani, umekisikia kicheko hiki? Mwangwi wake mpaka masetelaiti ya NASA yanakamata.
We have had two already. Any significant changes? Nope [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Nimeshangaa sana. Binti mpole wewe usiye na makuu kweli Wasukuma unatufanyia hivyo? Madaddy zako kabisa? Nilitaka kukutumia machupa manne ya Jameson sasa nimeghairi. Nampa Shiro badala yako [emoji16][emoji16][emoji16]Daddy hapana jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aliko sasa hivi anapekechwa na jamaa lenye fenesi la Andjul. Kazi unayo mwanawane [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Sheria zinasemaje?