myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kila jambo na wakati
Naunga mkono hojaA man who encourages you to study and work hard is better that a man who buys you expensive wigs to put on your empty head my sister..
Wajanja weshajengea majumba haya mabilioniWaziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameipa wiki 2 Kampuni ya Kimataifa ya Iris Corporation Berhard impe majibu ya kama italeta mtambo wa kutengeneza kadi ghafi kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa au Tsh. Bilioni 32.
Aidha, amesisitiza kuwa kutokana na wito alioutoa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIDA, Dickson Maimu pamoja na Jack Gotham kufika ofisini kwake, wasifanye jaribio la kutokuitikia wito huo, kwani wakifanya hivyo watapata tabu sana.
Nimemic kucheka embu tuma picha yoyote ya kichekesho hapa tucheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemic kucheka embu tuma picha yoyote ya kichekesho hapa tucheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]