Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Ukila miguu ya kuku unakuwa na miguu mi 4[emoji23]
Ukila miguu ya kuku unakuwa na miguu mi 4[emoji23]
Ni jambo la kushukuru. Huku kwemaMungu ni fundi,kanisimamisha miguu "yote" asubuhi hii...huwezi amini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari ya huko ndugu yangu? Tumshukuru Mungu kwa kila jambo[emoji120]
Siku zinaenda vile Mungu anavyo penda,hatuna budi kushukuru. Tuendelee kusimama tukiamini pasipo yeye sisi si chochote na hakuna kitakacho wezekaza.Familia haijambo kabisa japo nipo mbali nayo kwa wiki sasa mishe Mishe zinasemaje