andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ukilamba kisu unajichoma moyo,unakufa.
Ukimchungulia mtu mzima sehemu za siri(niligoma kuamini na sikuacha kuchungulia) unapofuka macho.
Ukilamba kisu unajichoma moyo,unakufa.
AminNi jambo la kushukuru. Huku kwema
Taja mkoa ulipo mkuu upate ofa za kwenda kula yai lisilo na kiini[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee hahaha utoto raha sanaUkila miguu ya kuku unakuwa na miguu mi 4[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nipo huku.Taja mkoa ulipo mkuu upate ofa za kwenda kula yai lisilo na kiini[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23]raha sana... Ukimeza mbegu ya zambarau itaota tumboni.Aiseee hahaha utoto raha sana
Amun Ra[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Siku zinaenda vile Mungu anavyo penda,hatuna budi kushukuru. Tuendelee kusimama tukiamini pasipo yeye sisi si chochote na hakuna kitakacho wezekaza.
Tukiamini hivyo,basi,kila kitu kitawezekana.
"Mungu ni zaidi ya chai dhidi ya mkate ikiwa tuta mkabidhi matatizo yetu ayatatue"
Pyaar wapi wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IKINDI[emoji23]UGALI KWA KIINGEREZA UNAITWAJE..?
MAJIBU JAMANI NATAKA NIJIBU MTIHANI HAPA.
Unatamkwa "yuga"UGALI KWA KIINGEREZA UNAITWAJE..?
MAJIBU JAMANI NATAKA NIJIBU MTIHANI HAPA.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sogea mkuu kuna ofa ya mayai [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nipo huku.
[emoji23][emoji23] nipo hukuPyaar wapi wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha mkuu ulichungulia nyeti za wakubwaUkilamba kisu unajichoma moyo,unakufa.
Ukimchungulia mtu mzima sehemu za siri(niligoma kuamini na sikuacha kuchungulia) unapofuka macho.
Nikila mayai naogopa kuzaa watoto wasio na nywele[emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] sogea mkuu kuna ofa ya mayai [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukila kichwa cha kuku utakuwa unazurula hovyo[emoji23][emoji23]raha sana... Ukimeza mbegu ya zambarau itaota tumboni.
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , nilikuwa nasubiri nione michungwa itakavyoota[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23]raha sana... Ukimeza mbegu ya zambarau itaota tumboni.