Taja mkoa ulipo mkuu upate ofa za kwenda kula yai lisilo na kiini[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] anaenda kukupasulia "yai" huyo...shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nipo huku.
ObusimaIKINDI[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unatamkwa "yuga"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] anaenda kukupasulia "yai" huyo...shauri yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]IKINDI[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , nilikuwa nasubiri nione michungwa itakavyoota[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mila potofu wazee wa zamani walikuwa walafi sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikila mayai naogopa kuzaa watoto wasio na nywele[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], AKATAGA.Obusima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] anaenda kukupasulia "yai" huyo...shauri yako
Yaani, vitu vizuri vyote wanachukua wao [emoji23][emoji23], kichwa cha samaki wao, filigisi wao, mayai wao duh[emoji23]Mila potofu wazee wa zamani walikuwa walafi sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Miguu ndo unazurura...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukila kichwa cha kuku utakuwa unazurula hovyo
Duuu, we kweli muhenga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nikila mayai naogopa kuzaa watoto wasio na nywele[emoji23][emoji23]