Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani, vitu vizuri vyote wanachukua wao [emoji23][emoji23], kichwa cha samaki wao, filigisi wao, mayai wao duh[emoji23]
Kuna samaki kule kwetu mtamu sana mbumi na mbofu watamu kweli nao wamama walikuwa wanazuiwa kula yaani hawa wazee walafi kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom