Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ZABURI 18.
 
Katika shamba lake George Kagima Kariuki huko Nakuru Kenya, Ng'ombe huwashiwa muziki kuwasaidia kuongeza kiwango cha maziwa. Na kama mwandishi wa BBC Swahili Judith Wambare alivyogundua....sio hayo tu, Ng'ombe hao wanalala kwenye magodoro
 
Amin, watu wajifunze hapa. Husda ina gharama zake
 
Andaeitini si ajabu ndo unagonga 20. Sali sana ili uweze kufikia hiyo 48 [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Watu mimvi imetujaa kote kote kuitafuta hiyo namba na bado inagoma kupatikana.Muhimu ni kuwa kwenye maombi ya kuililia afya yake ili Mungu aendelee kumjaalia maisha marefu.Kila kitu kinawezekana ukimtegemea Mungu aliye hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…