Mh mbunge habari za kupoteaHabari yako Mhe. Naona umetuma ujumbe
Amwambie muhusika
Kwenye mapovu haaahahaMh. mbunge wa Kiembesamaki. Siku hizi huku umetutupa. Huwa nakuonaga huko kwenye mapovu siasani. Uwe unapita pita ba huku kutusabahi wapiga kura wako.
Matamko yamezidi sanaHuyu poti wako huyu ni shida aisee. Mwibara huko mtakuwa mnaringa kwa kutoa Ninja
Wapi huyu mtuPimbiiiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 820285
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Ze ninja Ze Lugola wa Suguti.[emoji23][emoji23][emoji23]
Good evening my love
ZimeRIPHivi likes kumbe bado zipo
View attachment 820317
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Wapi huko kwenye baridi?Baridi ya hatari