Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka jana Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) ilipiga marufuku matangazo ya biashara yaliyokuwa yakiwekwa kama mwito pindi mteja anapopiga simu.

Chombo hicho kikuu cha usimamizi wa huduma za mawasiliano nchini kilichukua hatua hiyo ili watumiaji wa simu waendelee kupata huduma hiyo bila usumbufu, hatua ambayo iliungwa mkono na watu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…