[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SYB aika ati oyo niwe waifu matirio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... mmh, ako ntakukenda!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona akina poti mnapokezana tu...
Nikusemee Masaki au nikaushe tu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo wataka mie niwe wa kipindi cha baridi tu.....Shwaini kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Pyaar achana na poti njoo bobo tuyajenge huku baridi limezidi sana 200k nauli ya kuja singida inatosha nafikiri[emoji5] [emoji5]
Wishing him the best!!KAMA mipango itaenda ilivyopangwa basi Watanzania wajiandae tu kumshuhudia nyota wao wa kimataifa, Mbwana Samatta, akipimana ubavu na akina Sergio Ramos, Godin Diego na mabeki wengine wa kazi katika Ligi Kuu ya Hispania, La Liga.
Samatta anayekipiga Genk ya Ubeligiji, yupo mbioni kutua katika ligi hiyo iliyokimbiwa na Cristiano Ronaldo aliyeibukia Juventus ya Italia akitokea Real Madrid, anatakiwa na Levante UD itakayofungua msimu na Betis.
[emoji23][emoji23]Watu mnavituko sana humu natamani niwaone wote siku moja
[emoji23][emoji23][emoji23]Du aisee
Waliozitumia na wakapata saratani inakuwaje? Wanalipwa au ndo imetoka hiyo?Siku moja baada ya Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) kueleza kuwa imeanza kuziondoa dawa za kutibu shinikizo la juu la damu (presha) aina ya Dyanaval zilizobainika kusababisha saratani, Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imesema haihusiki na uingizaji au usambazaji wa dawa hizo.
Juzi, TFDA ilisema imeanza kuziondoa sokoni dawa hizo na shughuli hiyo ilianza Ijumaa ya wiki iliyopita na itafanyika ndani ya siku 14.
Akizungumza na Mwananchi jana, Msemaji wa MSD, Etty Kusiluka alisema dawa ya kutibu presha ambayo wamekuwa wakiiagiza ni Valsartan ambayo huagizwa nchini India na Swizerland.
Waliozitumia na wakapata saratani inakuwaje? Wanalipwa au ndo imetoka hiyo?
Niliwahi kwenda nchi fulani na Metacafin (spell) ili nikiwa na malaria nizimeze kisiri siri kwa sababu huko hakuna malaria. Nilishangaa nilipoambiwa kuwa metacafin zilikuwa zimeshapigwa marufuku huko kwq sababu zinasababisha matatizo makubwa ya ubongo. Nilishangaa sana !!!
Hongera, umejitahidi..Yegomasika...nenda ukaniletee kasichana kanakokoroma kakilala?
Vinyambulishi vya njeo na yambwa vimegoma au nimepiga nje kabisa hata kimaaana?