Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dakika moja tu...moja tu..nikwambie kitu...Mwaka 2006...tupo Maputo na Taifa stars...mechi imeisha na tumekimbizwa kweli kweli..mechi imeisha suluhu...tumerudi hotelini....Nimeenda chumbani kwa Nadir Haroub "Cannavaro" aliyekuwa analala na Abdi Kassim room moja...Cannavaro alikuwa benchi..walicheza Victor Costa na Salum Swedi...bado Cannavaro alikuwa na furaha sana na matokeo..nikamuuliza kuhusu nafasi yake kikosini...alichonijibu SINTOSAHAU...aliniambia "bro Edo, waliocheza wamenizidi uwezo na uzoefu, Mimi nitacheza tu ngoja niendelee kupata uzoefu. Inshallah"... Sikutegemea jibu hilo kutoka kwa mchezaji wa Kitanzania..nilitazamia aniambie kuhusu majungu, fitina, chuki...na kisha kijembe kwa Marcio Maximo. Hata hivyo baadae wote tulikuja kushuhudia Maximo alikuwa nani nchini...Leo nimetazama jina lake katika orodha ya Yanga sijaona jina lake....nasikia kapewa Umeneja....nadhani amestaafu...mambo ufika mwisho...nyakati zimempita...lakini huyo kwa kisa cha Maputo huyu ndiye Nadir ninayemfahamu...hautakutana na wanadamu wengi wenye roho nzuri zaidi ya Nadir...pengine ndiye mwanasoka rafiki yangu zaidi katika kizazi hiki...all the best bro...I SALUTE YOU CAPTAIN...LEGEND...I will call you sometimes tomorrow...inshallah
B
Eddo Kumwembe
 
Alikosea namba akanitumia Msg Mambo Mpenzi ...

Kila siku nilikuwa nawasiliana nae ila nikifika nyumbani natoa line yangu Mke wangu hasijue kabisa ... Nikimwambia atume picha WhatsApp anasema atumii simu kubwa.

Leo tumepanga tukutane Guest tukalale cha ajabu namkuta Mke wangu anadai heti aliniwekea Mtego ..

Mpaka sasa tumeshindwa kupata muafaka mi nahisi alijua kapata Bwana Mpya ushauri wako nimfanye nini huyu Mke Wangu?
[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Wote wazinzi[emoji23], sameheaneni tu maisha yaendelee.
 
Mkawe na siku njema iliyojaa upendo na furaha wapendwa wa Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 820794
Amin
 
Back
Top Bottom