Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alama ya Taifa
FB_IMG_1532507862211.jpg
 
Alikosea namba akanitumia Msg Mambo Mpenzi ...

Kila siku nilikuwa nawasiliana nae ila nikifika nyumbani natoa line yangu Mke wangu hasijue kabisa ... Nikimwambia atume picha WhatsApp anasema atumii simu kubwa.

Leo tumepanga tukutane Guest tukalale cha ajabu namkuta Mke wangu anadai heti aliniwekea Mtego ..

Mpaka sasa tumeshindwa kupata muafaka mi nahisi alijua kapata Bwana Mpya ushauri wako nimfanye nini huyu Mke Wangu?
[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Poleni, hongereni[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] utenguke wapi weye[emoji3] [emoji3] tatizo lako unaweza kung'ang'ania mara baada ya kuonjeshwa ubabe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nicheke aisee
 
Nimegundua kuna vitu kadhaa hapo kwenye 6x6 huvijui, unaviogopa au unavikwepa kwepa, naamini siku ukivijua kwa kina utaleta shida kwenye jamii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom