[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie nina shida basi...kuwa huru tu, no hard feelings.Mkuu naomba radhi, naona kama nimefyatuka sana. Pole. Lakini hata wewe ni mtani wangu wa damu hivyo kukutania sina budi.
Kuwa na amani, huo ni utani kama utani mwingine....Kanyaga twende[emoji23]Mkuu uko wapi, njoo nikutake radhi
Nashukuru mkuu wangu [emoji3] [emoji3]Kuwa na amani, huo ni utani kama utani mwingine....Kanyaga twende[emoji23]
Hahahahah jiran banaWapi visheti na vibibi...njaa kali
😂😂😂😂😂😂Hahahahah jiran bana
[emoji106][emoji106]Nashukuru mkuu wangu [emoji3] [emoji3]
Very perfect shots .. amechukua Mtanzania hizi.?
Very perfect shots .. kazi ya Mtanzania hii??