Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimegundua kuna vitu kadhaa hapo kwenye 6x6 huvijui, unaviogopa au unavikwepa kwepa, naamini siku ukivijua kwa kina utaleta shida kwenye jamii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], leo bila shaka umekunywa lubisi...Ngoja basi nimtafute wa kunifundisha hivyo unavyosema naviogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], leo bila shaka umekunywa lubisi...Ngoja basi nimtafute wa kunifundisha hivyo unavyosema naviogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu naomba radhi, naona kama nimefyatuka sana. Pole. Lakini hata wewe ni mtani wangu wa damu hivyo kukutania sina budi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…