Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuomba msamaha nacho ni kipaji na wengine hawaombi msamaha ng'o hata kama kosa ni lake. For the sake of peace, mwanaume inakubidi tu uombe msamaha ili yaishe kwa sababu unajua bila kufanya hivyo konokono utamsikia kwenye taarifa ya habari tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahahahah!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atafanya teuzi mpaka siku anaachia madaraka lakini kuna kitu hajakielewa. Na hicho ndicho kilimponza Nyerere mpaka siasa zake za Ujamaa zikashindwa. Anyway, kikatiba ana uhuru wa kumteua ye yote amtakaye na kumwondoa madarakani ye yote amtakaye. Trappings of power...
 

Kweli Chief, Kuishi na mwamke lazimaukubali kushuka tuu bro hasa mabinti wakichaga!
 
Mie sie niliyemteua...Labda ningekuwa nimehusika kumteua ningeweza kukujibu kwa ufasaha zaidi kuwa ni vigezo gani nimevitumia kumteua mlimbwende yule....

Ha hah
Why You always like this, kila mtu anajua kwanin Joketi anateuliwa. Nasikitikia kodi yangu tuu inavyotumiwa kizembe, Mf. mzuri ni Mama Kailuki, si ajabu hata kazini haendi na mshahara analipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…