Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nikibahitika kayapata hayo uliyotaja nitoke nikatafute nini tena, labda kama kuna uhaba wa feni la kupoza joto[emoji3] [emoji3] [emoji3] na mafeni nayo yawepo, siyo maneno tu
 
Last edited:
Haki ya nani tena,
Wengine mnahangaika eti na PhD zenu lakini huyu bwana mdogo katumia vizuri fursa. Teh teh teh teh teh kweli ukipata umepata. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu keshaninishinda maisha tayari,....alitumia vizuri alichopewa (katumia vizuri sana talanta yake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…