Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😂😂✔😂😂[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo nimeamini mkuuu.
Jokate ana talanta moja tu lakini imezaa talanta elfu. Teh teh teh
Huenda ni mzuri sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wanaenda kwa waganga kusaka mtongozo[emoji3] [emoji3] mwanamke kama hajatongozwa kwa siku angalau mbili anapoteza kilo moja ya uzito wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Salama dingi,karibuJamani salama!! humu
Aiseee...Huenda ni mzuri sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wanaenda kwa waganga kusaka mtongozo[emoji3] [emoji3] mwanamke kama hajatongozwa kwa siku angalau mbili anapoteza kilo moja ya uzito wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huyu angeonekana mpaka magotini...
Mmmh poti sikutaki PM kwangu,kaa nazo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mimi ninazo, nifungulie huko PM nkuletee! [emoji23][emoji23]
BageshKaone !!!
Ikimndondokea andjul hii atastaafu mazima kusifia uji mzito wa motooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena si kupungua size tu,apate na diarrhoea kabisa,shuainiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh poti sikutaki PM kwangu,kaa nazo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiona kauli kama hii, mchunguze sana anayeitoa. Utagundua mengi...Kwa hiyo na wewe unakubali kuwa kwenye huo mjumuisho?