Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji Alexandre Lacazette aliingia akitokea benchi na kufunga mabao mawili wakati Arsenal ikisambaratisha Paris St-Germain 5-1 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Singapore.

Lacazette alifunga bao lake la kwanza akimalizia krosi ya Emile Smith-Rowe na lile la pili kwa juhudu zake.
 
Majamaa yaliyosoma Sayansi yalikua hayana habari na mademu enzi za shule. Yenyewe na vitabu tuu. Matokeo yake yanakuja kupagawa na mifereji maringo tayari yana madaraka na pesa. Inakua Chaos sasa.
Kwenye mbunye hakuna cha sayansi wala sanaa. Ni kujiendekeza tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Penalti hiyo ilipatikana baada ya Sead Kolasinac kumchezea vibaya Timothy Weah kwenye eneo la hatari, lakini Arsenal ilifanikiwa kuondoka na ushindi mnono katika mchezo huo.

Kocha mpya wa Gunners, Unai Emery alisema anataka kuwa na manahodha watano katika kikosi chake msimu huu wakati alipomtambulisha Ozil kuwa nahodha wa mchezo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…