Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera zako, mwacheni mtoto wa mwenzenu ajiliage nchi.. Nafikiri alitumia muda na akili nyingi kutafuta mbinu, kuwaza na kuwazua ni jinsi gani atoke, atoke vipi,..Si lelemama, ....Hatimaye mambo yakawa[emoji122][emoji122][emoji122]...

Kanyaga twende dada, mbere kwa mbere
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41], tena wape miaka hiyo [emoji111], lazima utunukiwe na UBALOZI...[emoji23][emoji23]..
 
Itakuwa alicheza sarakasi kama ngedere wa maonyesho.
Ila watu wanahonga jamani[emoji23][emoji23][emoji23]tanzanite,saizi dc mweee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Februari mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miezi 16 jela na faini kwa kosa la kukwepa kulipa kodi kati ya mwaka 2012 na mwaka 2013.

Kutokana na hukumu hiyo, staa huyo alishindwa kwenda Marekani na wenzake wa Manchester United katika ziara ya maandalizi ya msimu mpya, baada ya ubalozi wa Marekani nchini England kumnyima visa.
 
Itakuwa alicheza sarakasi kama ngedere wa maonyesho.
Ila watu wanahonga jamani[emoji23][emoji23][emoji23]tanzanite,saizi dc mweee[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ndo wanakuitaga kudanga kulikoenda shule[emoji23][emoji23][emoji23],.. Unahongwa wilaya na watu wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tahadhari:- asijichanganye akakitembeza hovyo, atatunukiwa mwingine[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…